Leviticus 9:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
fahali mmoja na kondoo dume mmoja kwa ajili ya sadaka za amani, wakamtolee Mwenyezi-Mungu pamoja na sadaka ya nafaka iliyochanganywa na mafuta kwa maana leo Mwenyezi-Mungu atawatokea.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na pia maksai na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya amani, ili kutoa dhabihu mbele za Mwenyezi Mungu, pamoja na sadaka ya nafaka iliyochanganywa na mafuta. Kwa kuwa leo Mwenyezi Mungu atawatokea.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na ng'ombe mume, na kondoo mume, kwa sadaka za amani, ili kuwachinja mbele za Bwana; na sadaka ya unga uliochanganywa na mafuta; kwa maana, Bwana hivi leo atawatokea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
fahali mmoja na kondoo dume mmoja kwa ajili ya sadaka za amani, wakamtolee Mwenyezi-Mungu pamoja na sadaka ya nafaka iliyochanganywa na mafuta kwa maana leo Mwenyezi-Mungu atawatokea.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na maksai na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya amani, ili kutoa dhabihu mbele za BWANA, pamoja na sadaka ya nafaka iliyochanganywa na mafuta. Kwa kuwa leo BWANA atawatokea.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na pia maksai na kondoo dume kwa ajili ya sadaka ya amani, ili kutoa dhabihu mbele za bwana, pamoja na sadaka ya nafaka iliyochanganywa na mafuta. Kwa kuwa leo bwana atawatokea.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na ng'ombe dume, na kondoo dume, kwa sadaka za amani, ili kuwachinja mbele za BWANA; na sadaka ya unga uliochanganywa na mafuta; kwa maana, BWANA hivi leo atawatokea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
fahali mmoja na kondoo dume mmoja kwa ajili ya sadaka za amani, wakamtolee Mwenyezi-Mungu pamoja na sadaka ya nafaka iliyochanganywa na mafuta kwa maana leo Mwenyezi-Mungu atawatokea.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena chukueni dume la ng'ombe na la kondoo, wawe ng'ombe z tambiko za shukrani wa kuwachinja mbele ya Bwana na vilaji vya tambiko vilivyochanganywa na mafuta. Kwani leo Bwana atawatokea ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na ng’ombe mume, na kondoo mume, kwa sadaka za amani, ili kuwachinja mbele za BWANA; na sadaka ya unga uliochanganywa na mafuta; kwa maana, BWANA hivi leo atawatokea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ngombe dume mumoja na kondoo dume mumoja kwa ajili ya sadaka ya amani, wamutolee Yawe sadaka pamoja na sadaka ya unga uliochanganywa na mafuta kwa maana leo Yawe atawatokea.