Leviticus 9:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akawaambia, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu aliwaamuru mlifanye ili utukufu wake uonekane kwenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Musa akasema, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu alilowaagiza mlifanye, ili utukufu wa Mwenyezi Mungu upate kuonekana kwenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Musa akasema, Neno aliloliagiza Bwana kwamba mlifanye ni hili; na huo utukufu wa Bwana utawatokea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akawaambia, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu aliwaamuru mlifanye ili utukufu wake uonekane kwenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mose akasema, “Hili ndilo BWANA alilowaagiza mlifanye, ili utukufu wa BWANA upate kuonekana kwenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Musa akasema, “Hili ndilo bwana alilowaagiza mlifanye, ili utukufu wa bwana upate kuonekana kwenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Musa akasema, Neno aliloliagiza BWANA kwamba mlifanye ni hili; na huo utukufu wa BWANA utawatokea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akawaambia, “Hili ndilo jambo ambalo Mwenyezi-Mungu aliwaamuru mlifanye ili utukufu wake uonekane kwenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akasema: Hili ndilo neno, Bwana aliloliagiza, mlifanye, utukufu wa Bwana uwatokee.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Musa akasema, Neno aliloliagiza BWANA kwamba mlifanye ni hili; na huo utukufu wa BWANA utawatokea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawaambia: Hili ndilo jambo ambalo Yawe aliwaamuru mulifanye kusudi utukufu wake uonekane kwenu.