Luke 1:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo malaika wa Mwenyezi Mungu, akiwa amesimama upande wa kuume wa madhabahu ya kufukizia uvumba, akamtokea Zakaria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatokewa na malaika wa Bwana, amesimama upande wa kuume wa madhabahu ya kufukizia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Zakaria akiwa ndani ya Hekalu alitokewa na malaika wa Bwana akiwa amesimama mbele yake upande wa kulia wa madhabahu ya uvumba.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo malaika wa Bwana, akiwa amesimama upande wa kuume wa madhabahu ya kufukizia uvumba, akamtokea Zekaria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo malaika wa Mwenyezi Mungu, akiwa amesimama upande wa kuume wa madhabahu ya kufukizia uvumba, akamtokea Zekaria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatokewa na malaika wa Bwana, amesimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malaika wa Bwana akamtokea akisimama mezani pa kuvukizia kuumeni kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatokewa na malaika wa Bwana, amesimama upande wa kuume wa madhabahu ya kufukizia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu malaika wa Bwana akamutokea Zakaria, akisimama upande wa kuume wa mazabahu ya kuchomea ubani.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akatokewa na Malaika wa Bwana, amesimama upande wa kuume wa madhbahu ya kufukizia.