Luke 1:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zakaria alipomwona huyo malaika, akafadhaika sana, akajawa na hofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Zakaria alipomwona malaika aliogopa, na akaingiwa na hofu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Zakariya alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zekaria alipomwona huyo malaika, akafadhaika sana akajawa na hofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zekaria alipomwona huyo malaika, akafadhaika sana, akajawa na hofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zakaria alipomwona akahangaika, woga ukamguia;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zakaria alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Zakaria alipomwona, akahangaika na kushikwa na woga.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Zakaria akafadhaika alipomwona, khofu ikamwingia.