Luke 1:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zakaria akamwambia huyo malaika, “Ni kitu gani kitakachonihakikishia jambo hilo? Mimi ni mzee, hali kadhalika na mke wangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zakaria akamuuliza malaika, “Jambo hilo linawezekanaje? Mimi ni mzee na mke wangu pia ana umri mkubwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Zakaria akamwambia malaika, Nitajuaje neno hilo? Maana mimi ni mzee, na mke wangu ni mkongwe wa siku nyingi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Zakaria akamwambia malaika, “Nitajuaje kuwa haya unayosema ni ya kweli? Maana mimi ni mzee na mke wangu ana umri mkubwa pia.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Zakariya akamwambia huyo malaika, “Ni kitu gani kitakachonihakikishia jambo hilo? Mimi ni mzee, hali kadhalika na mke wangu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zakaria akamwambia huyo malaika, “Ni kitu gani kitakachonihakikishia jambo hilo? Mimi ni mzee, hali kadhalika na mke wangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zekaria akamwuliza malaika, “Jambo hilo linawezekanaje? Mimi ni mzee na mke wangu pia ana umri mkubwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zekaria akamuuliza malaika, “Jambo hilo linawezekanaje? Mimi ni mzee na mke wangu pia ana umri mkubwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Zakaria akamwambia malaika, Nitajuaje neno hilo? Maana mimi ni mzee, na mke wangu ni mkongwe wa siku nyingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zakaria akamwambia huyo malaika, “Ni kitu gani kitakachonihakikishia jambo hilo? Mimi ni mzee, hali kadhalika na mke wangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Zakaria akamwambia malaika: Haya nitayatambuaje? Maana mimi ni mzee, nayo miaka ya mke wangu imekuwa mingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Zakaria akamwambia malaika, Nitajuaje neno hilo? Maana mimi ni mzee, na mke wangu ni mkongwe wa siku nyingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zakaria akamwuliza yule malaika: “Kitu gani kitakachonijulisha kwamba maneno hayo ni ya kweli? Mimi ni muzee, na muke wangu amekwisha kuzeeka sana.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Zakaria akamwambia malaika, Nitajuaje hayo? Maana mimi mzee na mke wangu kongwe wa siku nyingi.