Luke 1:19 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu; nimetumwa niseme nawe, nikuletee hizi habari njema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malaika akamjibu, akamwambia, “Mimi ni Jibraili, nisimamaye mbele za Mungu, nami nimetumwa kwako ili nikuambie habari hizi njema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, ambaye daima husimama mbele za Mungu nikiwa tayari. Amenituma kuzungumza nawe na kukujulisha habari hizi njema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu, na nimetumwa niseme nawe, nikuletee hii habari njema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu; nimetumwa niseme nawe, nikuletee hizi habari njema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malaika akamjibu, akamwambia, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu, nami nimetumwa kwako ili nikuambie habari hizi njema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malaika akamjibu, akamwambia, “Mimi ni Jibraili, nisimamaye mbele za Mwenyezi Mungu, nami nimetumwa kwako ili nikuambie habari hizi njema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika akamjibu, “Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele ya Mungu; nimetumwa niseme nawe, nikuletee hizi habari njema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malaika akajibu, akamwambia: Mimi ni Gaburieli ninayesimama mbele ya Mungu; nimetumwa kusema na wewe, nikupigie mbiu hii njema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malaika akamujibu: “Mimi ni Gabrieli, anayebaki karibu na Mungu! Nimetumwa kusema nawe, kwa kukuletea habari hii njema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Malaika akamjibu, akamwambia, Mimi ni Gabrieli nisimamae mbele ya Mungu: nami nalitumwa niseme nawe, na kukupasha khabari hizi njema.