Luke 1:2 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waliyaandika kama tulivyoelezwa na wale walioyaona mambo hayo kwa macho yao tangu mwanzo, na waliotangaza ujumbe huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama vile yalivyokabidhiwa kwetu na wale waliokuwa mashahidi walioyaona na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mambo hayo waliyoyaandika yanalingana na yale tuliyosikia kutoka kwa watu walioyaona tangu mwanzo. Na walimtumikia Mungu kwa kuwaambia wengine ujumbe wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Waliandika kama tulivyoelezwa na wale walioyaona kwa macho yao tangu mwanzo, na waliotangaza ujumbe huo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waliyaandika kama tulivyoelezwa na wale walioyaona mambo hayo kwa macho yao tangu mwanzo, na waliotangaza ujumbe huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama vile yalivyokabidhiwa kwetu na wale ambao walikuwa mashahidi walioona na watumishi wa Bwana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama vile yalivyokabidhiwa kwetu na wale waliokuwa mashahidi walioyaona na watumishi wa Bwana Isa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waliyaandika kama tulivyoelezwa na wale walioyaona mambo hayo kwa macho yao tangu mwanzo, na waliotangaza ujumbe huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliyafuatafuata yale waliyoambiwa na wenye kuyaona yote kwa macho yao, yalivyokuwa tangu mwanzo, kwani walikuwa wamelitumikia lile Neno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi, ua watumishi wa lile neno tokea mwanzo,