Luke 1:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Muda wake wa kuhudumu Hekaluni ulipomalizika, akarudi nyumbani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa siku za huduma yake zilipokuwa zimetimia akaenda nyumbani kwake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Zamu ya utumishi wake ilipokwisha alirudi nyumbani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Muda wake wa kuhudumu Hekaluni ulipomalizika, akarudi nyumbani kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Muda wake wa kuhudumu Hekaluni ulipomalizika, akarudi nyumbani kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa siku za huduma yake zilipokuwa zimetimia akaenda nyumbani kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zamu yake ya kuhudumu ilipokwisha, alirudi nyumbani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, siku za utambikaji wake zilipomalizika, akaondoka, akaenda nyumbani mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa siku za huduma yake zilipokuwa zimetimia akaenda nyumbani kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Zakaria alipotimiza siku zake za kazi, akarudia kwenye nyumba yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikawa siku za khuduma yake zilipotimia, akaenda zake nyumbani kwake.