Luke 1:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baadaye Elisabeti mkewe akapata mimba. Akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano, akisema:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya muda usio mrefu, Elizabeti mkewe akapata mimba, naye akajitenga kwa miezi mitano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa miezi mitano, akisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati fulani baadaye, Elizabeti, mke wa Zakaria akawa mjamzito. Alikaa katika nyumba yake na hakutoka nje kwa miezi mitano. Alisema,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baadaye Elisabeti mkewe akapata mimba. Akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano, akisema:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baadaye Elisabeti mkewe akapata mimba. Akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano, akisema:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya muda si mrefu Elizabeti mkewe akapata mimba, naye akajitenga kwa miezi mitano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya muda usio mrefu, Elizabeti mkewe akapata mimba, naye akajitenga kwa miezi mitano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa miezi mitano, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baadaye Elisabeti mkewe akapata mimba. Akajificha nyumbani kwa muda wa miezi mitano, akisema:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini baada ya siku zile mkewe Elisabeti akapata mimba, akajificha miezi mitano, akasema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata baada ya siku zile mkewe Elisabeti alichukua mimba akatawa miezi mitano, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu nyuma ya siku zile, muke wake Elizabeti akapata mimba. Hakutokatoka ndani ya nyumba kwa muda wa miezi mitano, akisema:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta baada ya siku zile mkewe Elizabeti akachukua mimba akajificha miezi mitano, akisema,