Luke 1:25 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Elizabeti akasema, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu alilonitendea aliponipa kibali na kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Na sasa, hatimaye Bwana amenisaidia kwa kuniondolea aibu yangu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, “Hili ndilo Bwana alilonitendea aliponiangalia kwa upendeleo na kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu alilonitendea aliponiangalia kwa upendeleo na kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, alivyonitendea Bwana siku hizi akinitazama, aiondoe soni, niliyokuwa nayo kwa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Sasa Bwana amenifanyia mema kwa kunitendea hivi; ameniondolea haya ya kutokuzaa niliyokuwa nayo mbele ya watu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana, siku zile alizoniangalia, kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.