Luke 1:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwezi wa sita baada ya Elizabeti kupata mimba, Mungu alimtuma malaika Jibraili aende Galilaya katika mji wa Nasiri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwezi wa sita wa ujauzito wa Elizabeti, Mungu alimtuma malaika Gabrieli kwa msichana mmoja bikira aliyeishi Nazareti, mji wa Galilaya. Msichana huyo alikuwa amechumbiwa na Yusufu mzaliwa katika ukoo wa Daudi. Jina la bikira huyo lilikuwa Mariamu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwezi wa sita baada ya Elizabeti kupata mimba, Mungu alimtuma malaika Gabrieli aende Galilaya katika mji wa Nazareti,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwezi wa sita baada ya Elizabeti kupata mimba, Mwenyezi Mungu alimtuma malaika Jibraili aende Galilaya katika mji wa Nasiri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka katika mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwezi wa sita malaika Gaburieli akatumwa na Mungu kwenda katika mji wa Galilea, jina lake Nasareti,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimba ya Elizabeti ilipotimiza miezi sita, Mungu akamutuma malaika Gabrieli katika muji mumoja wa Galilaya, unaoitwa Nazareti.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mwezi wa sita malaika Gabrieli alipelekwa na Mungu kwenda mji wa Galilaya, jina lake Nazareti,