Luke 1:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika akamwendea, akamwambia, “Salamu, ewe uliyejaliwa neema na Mungu! Bwana yuko nawe!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye malaika akaja kwake akamwambia: “Salamu, wewe uliyebarikiwa, Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Malaika alimwendea na kusema “Salamu! Bwana yu pamoja nawe; Kwa kuwa neema yake iko juu yako.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Malaika akamwendea, akamwambia, “Salamu Maria! Umejaliwa neema nyingi! Bwana yu pamoja nawe.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika akamwendea, akamwambia, “Salamu, ewe uliyejaliwa neema na Mungu! Bwana yuko nawe!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye malaika akaja kwake akamwambia: “Salamu, wewe uliyebarikiwa, Bwana yu pamoja nawe!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye malaika akaja kwake akamwambia: “Salamu, wewe uliyebarikiwa. Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika akamwendea, akamwambia, “Salamu, ewe uliyejaliwa neema na Mungu! Bwana yuko nawe!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoingia mwake akasema: Salamu kwako, kwani yako uliyogawiwa! Bwana yuko pamoja na wewe uliye mwenye kipaji kinachovipita vya wanawake wengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malaika akamufikia kwenye nyumba yao na kumwambia: “Salamu kwako, wewe uliyejaliwa neema kutoka kwa Mungu! Bwana yuko pamoja nawe.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaja kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.