Luke 1:29 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maria aliposikia maneno hayo alifadhaika sana, akawaza: Maneno hayo yanamaanisha nini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mariamu akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni salamu hii ni ya namna gani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini, Mariamu alichanganyikiwa kutokana na yale aliyosema malaika. Akajiuliza, “Salamu hii ina maana gani?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maria aliposikia maneno hayo alifadhaika sana, akawaza: maneno haya yanamaanisha nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maria aliposikia maneno hayo alifadhaika sana, akawaza: maneno hayo yanamaanisha nini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maria akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni, “Salamu hii ni ya namna gani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mariamu akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni, “Salamu hii ni ya namna gani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maria aliposikia maneno hayo alifadhaika sana, akawaza: Maneno hayo yanamaanisha nini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipohangaika kwa neno hili akifikiri kwamba: Huyu ananiamkia kwa namna gani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Maria aliposikia maneno haya, akahangaika sana na kujiuliza: “Maana ya salamu hii ni nini?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae akafadhaika kwa khabari ya neno hili, akawaza moyoni mwake, Hii ni salamu gani?