Luke 1:3 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inafaa nami pia, Mheshimiwa, baada ya kuchunguza kwa makini mambo yote tangu mwanzo, nikuandikie kwa mpango,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mimi nami baada ya kuchunguza kila kitu kwa uangalifu kuanzia mwanzo, niliamua kukuandikia habari za mambo hayo, ewe mtukufu Theofilo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nimechunguza kila kitu kwa makini tangu mwanzo. Na nimeona kuwa ni vyema nikuandikie kwa mpangilio mzuri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Inafaa nami pia, Mheshimiwa, baada ya kuchunguza kwa makini mambo yote tangu mwanzo, nikuandikie kwa mpango,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inafaa nami pia, Mheshimiwa, baada ya kuchunguza kwa makini mambo yote tangu mwanzo, nikuandikie kwa mpango,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mimi nami baada ya kuchunguza kila kitu kwa uangalifu kuanzia mwanzo, niliamua kukuandikia habari za mambo hayo ewe mtukufu Theofilo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mimi nami baada ya kuchunguza kila kitu kwa uangalifu kuanzia mwanzo, niliamua kukuandikia habari za mambo hayo, ewe mtukufu Theofilo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inafaa nami pia, Mheshimiwa, baada ya kuchunguza kwa makini mambo yote tangu mwanzo, nikuandikie kwa mpango,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa nami nimeyafuata na kuyachungua yote mpaka hapo, yalipoanzia, nikaona, inafaa, nikuandikie sawasawa, kama yalivyofuatana, mwenzangu Teofilo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nimeona vema na mimi, nikiisha kujipatia khabari zilizo sahihi za mambo yote tokea awali, kukuandikia kwa taratibu. Theofilo il-aziz: