Luke 1:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye atakuwa mkubwa na ataitwa Mwana wa Mungu Mkuu. Bwana Mungu atampa kiti cha mfalme Daudi, babu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. Mwenyezi Mungu atampa kiti cha utawala cha Daudi baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtoto huyo atakuwa Mkuu na watu watamwita Mwana wa Mungu Aliye Mkuu Sana na Bwana Mungu atamfanya kuwa mfalme kama Daudi baba yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye atakuwa mkuu na ataitwa Mwana wa Mungu Mkuu. Bwana Mungu atampa kiti cha mfalme Daudi, babu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye atakuwa mkubwa na ataitwa Mwana wa Mungu Mkuu. Bwana Mungu atampa kiti cha mfalme Daudi, babu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. BWANA Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. bwana Mwenyezi Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye Juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye atakuwa mkubwa na ataitwa Mwana wa Mungu Mkuu. Bwana Mungu atampa kiti cha mfalme Daudi, babu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiye atakayekuwa mkuu, ataitwa Mwana wake Alioko huko juu, naye Bwana Mungu atampa kiti cha kifalme cha baba yake Dawidi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye atakuwa mwenye mamlaka, na ataitwa Mwana wa Mungu Mukubwa. Bwana Mungu atamuweka kuwa mutawala wa ufalme wa babu yake Daudi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Huyu atakuwa mkuu, atakwitwa Mwana wake Aliye juu; na Bwana Mungu atampa kiti cha Daud baba yake.