Luke 1:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mariamu akamuuliza huyo malaika, “Maadamu mimi ni bikira, jambo hili litawezekanaje?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mariamu akamwambia malaika, “Jambo hili litatokeaje? Kwa maana mimi bado ni bikira.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maria akamwuliza huyo malaika, “Maadamu mimi ni bikira, jambo hili litawezekanaje?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mariamu akamuuliza huyo malaika, “Maadamu mimi ni bikira, jambo hili litawezekanaje?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maria akamwambia malaika: Hili litakuwaje? kwani sijajua mume.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maria akamwuliza malaika: “Jambo hili litawezekana namna gani kwa maana mimi ningali bikira?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili; kwa maana simjui mume?