Luke 1:39 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku kadhaa baadaye, Maria alifunga safari akaenda kwa haraka hadi mji mmoja ulioko katika milima ya Yudea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo Mariamu akajiandaa, akaharakisha kwenda katika mji mmoja kwenye nchi ya vilima ya Yudea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Mariamu akaondoka siku hizo, akaenda hata nchi ya milimani kwa haraka mpaka mji mmoja wa Yuda,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mariamu akajiandaa na kwenda haraka katika mji mmoja ulio vilimani katika jimbo la Yuda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku kadhaa baadaye, Maria alifunga safari akaenda kwa haraka hadi mji mmoja ulioko katika milima ya Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku kadhaa baadaye, Maria alifunga safari akaenda kwa haraka hadi mji mmoja ulioko katika milima ya Yudea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo Maria akajiandaa, akaharakisha kwenda katika mji mmoja kwenye vilima vya Uyahudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo Mariamu akajiandaa, akaharakisha kwenda katika mji mmoja kwenye vilima vya Uyahudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, Mariamu akaondoka siku hizo, akaenda hadi katika nchi yenye milima kwa haraka mpaka mji mmoja wa Yudea,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku kadhaa baadaye, Maria alifunga safari akaenda kwa haraka hadi mji mmoja ulioko katika milima ya Yudea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hizo Maria akainuka, akaenda upesi milimani kufika katika mji wa Yuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, Mariamu akaondoka siku hizo, akaenda hata nchi ya milimani kwa haraka mpaka mji mmoja wa Yuda,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku zile, Maria akafunga safari, akaenda kwa haraka katika muji mumoja uliokuwa katika vilima vya Yudea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mariamu akaondoka siku hizo, akaenda milimani kwa haraka hatta mji mmoja wa Yuda.