Luke 1:40 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko, aliingia katika nyumba ya Zakaria, akamsalimu Elisabeti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaingia nyumbani mwa Zakaria na kumsalimu Elizabeti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akaingia nyumbani kwa Zakaria akamwamkia Elisabeti.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikwenda nyumbani kwa Zakaria, alipofika akamsalimu Elizabeti.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huko, aliingia katika nyumba ya Zakariya, akamsalimu Elisabeti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko, aliingia katika nyumba ya Zakaria, akamsalimu Elisabeti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaingia nyumbani kwa Zekaria na kumsalimu Elizabeti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaingia nyumbani kwa Zekaria na kumsalimu Elizabeti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akaingia nyumbani kwa Zakaria akamwamkia Elisabeti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko, aliingia katika nyumba ya Zakaria, akamsalimu Elisabeti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaingia nyumbani mwa Zakaria, akamwamkia Elisabeti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akaingia nyumbani kwa Zakaria akamwamkia Elisabeti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akafika kwenye nyumba ya Zakaria, akaingia ndani yake na kumusalimia Elizabeti.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaingia nyumbani kwa Zakaria, akamwamkia Elizabeti.