Luke 1:42 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akasema kwa sauti kubwa, “Umebarikiwa kuliko wanawake wote, naye utakayemzaa amebarikiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akapaza sauti kwa nguvu, akasema, “Umebarikiwa wewe miongoni mwa wanawake, naye mtoto utakayemzaa amebarikiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akapaza sauti na kumwambia Mariamu, “Umebarikiwa kuliko wanawake wote, na mtoto utakayemzaa amebarikiwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
akasema kwa sauti kubwa, “Umebarikiwa kuliko wanawake wote, naye utakayemzaa amebarikiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akasema kwa sauti kubwa, “Umebarikiwa kuliko wanawake wote, naye utakayemzaa amebarikiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akapaza sauti kwa nguvu akasema, “Umebarikiwa wewe miongoni mwa wanawake, naye mtoto utakayemzaa amebarikiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akapaza sauti kwa nguvu akasema, “Umebarikiwa wewe miongoni mwa wanawake, naye mtoto utakayemzaa amebarikiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akasema kwa sauti kubwa, “Umebarikiwa kuliko wanawake wote, naye utakayemzaa amebarikiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akapaza sauti kwa nguvu akisema: Wewe umebarikiwa kuliko wanawake wengine, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akasema kwa sauti kubwa: “Wewe umebarikiwa kuliko wanawake wote, na mutoto utakayemuzaa amebarikiwa!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Umebarikiwa wewe katika wanawake, na uzao wa tumbo lako umebarikiwa.