Luke 1:45 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri yako wewe uliyesadiki kwamba yatatimia yale Bwana aliyokuambia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amebarikiwa yeye aliyeamini kwamba lile Mwenyezi Mungu alilomwambia litatimizwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye heri aliyesadiki; kwa maana yatatimizwa aliyoambiwa na Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Umebarikiwa wewe uliyeamini kuwa mambo aliyokuambia Bwana yatatokea.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Heri yako wewe uliyesadiki kwamba yatatimia yale Bwana aliyokwambia.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri yako wewe uliyesadiki kwamba yatatimia yale Bwana aliyokuambia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amebarikiwa yeye aliye amini kwamba lile Bwana alilomwambia litatimizwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amebarikiwa yeye aliyeamini kwamba lile Mwenyezi Mungu alilomwambia litatimizwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye heri aliyesadiki; kwa maana yatatimizwa aliyoambiwa na Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri yako wewe uliyesadiki kwamba yatatimia yale Bwana aliyokuambia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe uliyemtegemea Mungu utakuwa mwenye shangwe, kwani yatatimizwa hayo, uliyoambiwa na Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye heri aliyesadiki; kwa maana yatatimizwa aliyoambiwa na Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri kwako wewe uliyesadiki kwamba maneno yale uliyoambiwa kutoka kwa Bwana yatatimizwa!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na yu kheri aliyesadiki, kwa maana maneno hayo aliyoambiwa na Bwana yatatimizwa.