Luke 1:49 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kuwa Mungu Mwenye Nguvu amenifanyia makuu, jina lake ni takatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana yeye Mwenye Nguvu amenitendea mambo ya ajabu: jina lake ni takatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa kuwa Mwenye Nguvu amenitendea mambo makuu. Jina lake ni takatifu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa kuwa Mwenyezi Mungu amenitendea makuu, jina lake ni takatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kuwa Mungu Mwenye Nguvu amenifanyia makuu, jina lake ni takatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana yeye Mwenye Nguvu amenitendea mambo ya ajabu, jina lake ni takatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana yeye Mwenye Nguvu amenitendea mambo ya ajabu: jina lake ni takatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kuwa Mungu Mwenye Nguvu amenifanyia makuu, jina lake ni takatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amenifanyia makuu kwa kuwa mnguvu, Jina lake ni takatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
sababu Mungu Mwenye Uwezo, amenitendea maajabu. Jina lake ni takatifu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa kuwa aliye hodari amenitendea makuu; Na Jina lake ni takatifu.