Luke 1:50 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Rehema zake hudumu kizazi hadi kizazi, kwa wale wanaomcha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na huwapa rehema zake wale wamchao, kutoka kizazi hadi kizazi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Rehema zake huwaendea wale wamchao, kutoka kizazi hadi kizazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Rehema zake huwaendea wale wamchao, kutoka kizazi hadi kizazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huruma yake huwajia vizazi kwa vizazi wamwogopao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anawasikilia wale wanaomwogopa huruma kwa vizazi vyote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na rehema zake vizazi hatta vizazi Kwao wanaomcha.