Luke 1:52 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
amewashusha wenye nguvu kutoka viti vyao vya enzi, akawakweza wanyenyekevu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya utawala, lakini amewainua wanyenyekevu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amewaangusha wakuu katika viti vyao vya enzi; Na wanyonge amewakweza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Amewaangusha watawala kutoka katika viti vyao vya enzi, na kuwakweza wanyenyekevu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
amewashusha wenye nguvu kutoka vitu vyao vya enzi, akawakweza wanyenyekevu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
amewashusha wenye nguvu kutoka viti vyao vya enzi, akawakweza wanyenyekevu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi, lakini amewainua wanyenyekevu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi, lakini amewainua wanyenyekevu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amewaangusha wakuu katika viti vyao vya enzi; Na wanyonge amewainua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
amewashusha wenye nguvu kutoka viti vyao vya enzi, akawakweza wanyenyekevu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huangusha wenye nguvu katika viti vya kifalme, lakini wao walio wanyenyekevu huwapandisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amewaangusha wakuu katika viti vyao vya enzi; Na wanyonge amewakweza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amewashusha wafalme wenye uwezo, lakini amewainua wanyenyekevu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Amewashusha wakuu katika viti, Amewakweza wanyonge.