Luke 1:53 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaondoa mikono mitupu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, bali matajiri amewafukuza mikono mitupu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wenye njaa amewashibisha mema, Na wenye mali amewaondoa mikono mitupu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Amewashibisha wenye njaa kwa mambo mema, na amewatawanya matajiri bila ya kuwapa kitu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaacha waende mikono mitupu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaondoa mikono mitupu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri bali matajiri amewafukuza mikono mitupu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, bali matajiri amewafukuza mikono mitupu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wenye njaa amewashibisha mema, Na wenye mali amewaondoa mikono mitupu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaondoa mikono mitupu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio wenye njaa huwashibisha mema, lakini wenye mali huwaacha, wajiendee mikono mitupu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wenye njaa amewashibisha mema, Na wenye mali amewaondoa mikono mitupu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anawatajirisha wenye njaa, lakini amewaacha watajiri mikono mitupu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wenye njaa amewashibisha mema; Wenye mali amewaondoa mikono mitupu