Luke 1:55 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama alivyowaahidia wazee wetu, Abrahamu na wazawa wake hata milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ibrahimu na uzao wake milele, kama alivyowaahidi baba zetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama alivyowaambia baba zetu, Ibrahimu na uzao wake hata milele.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Maana ndivyo alivyowaahidi baba zetu, Ibrahimu na wazaliwa wake.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kama alivyowaahidia wazee wetu Abrahamu na wazawa wake hata milele.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama alivyowaahidia wazee wetu, Abrahamu na wazawa wake hata milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abrahamu na uzao wake milele, kama alivyowaahidi baba zetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ibrahimu na uzao wake milele, kama alivyowaahidi baba zetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama alivyowaambia baba zetu, Abrahamu na uzao wake hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama alivyowaahidia wazee wetu, Abrahamu na wazawa wake hata milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama alivyowaambia baba zetu, akina Aburahamu nao walio uzao wake kwamba: Wawe wa kale na kale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama alivyowaambia baba zetu, Ibrahimu na uzao wake hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
sawa alivyoahidi babu zetu, Abrahamu na wazao wake kwa milele.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
(Kwa jinsi alivyowaambia baba zetu) Ibrahimu na nzao wake, hatta milele.