Luke 1:56 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mariamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mariamu akakaa naye kadiri ya miezi mitatu, kisha akarudi kwenda nyumbani kwake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mariamu alikaa na Elizabeti kwa muda wa kama miezi mitatu, kisha alirudi nyumbani kwake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maria akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mariamu akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mariamu akakaa naye kadiri ya miezi mitatu, kisha akarudi kwenda nyumbani kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maria akakaa kwake, yapata miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mariamu akakaa naye kadiri ya miezi mitatu, kisha akarudi kwenda nyumbani kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maria akakaa na Elizabeti kadiri ya miezi mitatu. Kisha akarudia kwenye nyumba yao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mariamu akakaa nae kadri ya miezi mitatu, akarudi nyumbani kwake.