Luke 1:57 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto wa kiume.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, siku za kuzaa kwake Elisabeti zilipotimia, alizaa mtoto mwanamume.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati ulipotimia kwa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto wa kiume.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, siku za kuzaa kwake Elisabeti zilipotimia, alizaa mtoto mwanamume.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elisabeti siku zake za kuzaa zilipotimia, akazaa mtoto mume.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, siku za kuzaa kwake Elisabeti zilipotimia, alizaa mtoto mwanamume.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wa kuzaa kwa Elizabeti ulipotimia, akazaa mutoto mwanaume.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta Elisabeti akatimiziwa wakati wake wa kuzaa, akazaa mwana mume.