Luke 1:60 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yahya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mamaye akajibu akasema La, sivyo; bali, ataitwa Yohana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mama yake akasema, “Hapana, mtoto ataitwa Yohana.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini mama yake akasema, “La, sivyo, bali ataitwa Yohane.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yohana.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yahya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mamaye akajibu akasema La, sivyo; bali, ataitwa Yohana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mama yake akasema, “Sivyo, bali ataitwa Yohane.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mama yake akakataa akisema: Sivyo, sharti aitwe Yohana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mamaye akajibu akasema La, sivyo; bali, ataitwa Yohana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mama yake akakataa na kuwaambia kwamba jina lake litaitwa Yoane.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akajibu mamae, akasema, Sivyo, lakini atakwitwa Yohana.