Luke 1:62 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wakamfanyia Zakaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwashiria babaye wajue atakavyo kumwita.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo wakamfanyia ishara baba yake wakimwuliza jina alilotaka kumpa mtoto.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wakamfanyia Zekaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wakamfanyia Zekaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwashiria babaye wajue atakavyo kumwita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipompungia baba yake na kumwuliza jina, alilolitaka, mtoto aitwe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwashiria babaye wajue atakavyo kumwita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wakamwuliza baba ya mutoto kwa njia ya kufanya alama jina gani analotaka wamupe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamwashiria babae, kumwuliza atakaje aitwe.