Luke 1:63 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye akaomba kibao cha kuandikia, akaandika hivi: “Yohane ndilo jina lake.” Wote wakastaajabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaomba wampe kibao cha kuandikia na kwa mshangao wa kila mtu akaandika: “Jina lake ni Yahya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akataka kibao, akaandika ya kwamba, Jina lake ni Yohana. Wakastaajabu wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Zakaria akataka ubao wa kuandikia, Kisha akaandika, “Jina lake ni Yohana.” Wote wakashangaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naye akaomba kibao cha kuandikia, akaandika hivi: “Yohane ndilo jina lake.” Wote wakastaajabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye akaomba kibao cha kuandikia, akaandika hivi: “Yohane ndilo jina lake.” Wote wakastaajabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaomba wampe kibao cha kuandikia na kwa mshangao wa kila mtu akaandika: “Jina lake ni Yohana.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaomba wampe kibao cha kuandikia na kwa mshangao wa kila mtu akaandika: “Jina lake ni Yahya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akataka kibao, akaandika ya kwamba, Jina lake ni Yohana. Wakastaajabu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye akaomba kibao cha kuandikia, akaandika hivi: “Yohane ndilo jina lake.” Wote wakastaajabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akataka kibao, akaandika na kusema: Yohana ndilo jina lake. Wakastaajabu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akataka kibao, akaandika ya kwamba, Jina lake ni Yohana. Wakastaajabu wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zakaria akaomba wamuletee kibao, naye akaandika maneno haya juu yake: “Jina lake ni Yoane.” Wote wakashangaa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akataka kibau, akaandika, akanena, Yohana ni jina lake. Wakataajabu wote.