Luke 1:64 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Papo hapo, midomo na ulimi wake Zakaria vikafunguliwa, akawa anaongea akimsifu Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake pia, akaanza kuongea, huku akimsifu Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake pia, akaanza kunena akimsifu Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mara hiyo hiyo mdomo wake ulifunguliwa na ulimi wake ukaachia, akaanza kuzungumza na kumsifu Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Papo hapo midomo na ulimi wake Zakariya vikafunguliwa, akawa anaongea akimsifu Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Papo hapo, midomo na ulimi wake Zakaria vikafunguliwa, akawa anaongea akimsifu Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake ukaachiwa, akawa anaongea akimsifu Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake ukaachiwa, akawa anaongea akimsifu Mwenyezi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake pia, akaanza kunena akimsifu Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Papo hapo, midomo na ulimi wake Zakaria vikafunguliwa, akawa anaongea akimsifu Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara hiyo akafunguka kinywa chake na ulimi wake, akasema na kumtukuza Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake pia, akaanza kunena akimsifu Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na pale pale ulimi wa Zakaria ukafunguka, akaanza tena kusema, akasifu Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra akafunguliwa kinywa na ulimi wake, akanena, akimbariki Mungu.