Luke 1:67 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zakaria, baba yake mtoto, akajazwa Roho Mtakatifu, akatamka unabii huu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Zakaria, baba yake, akajazwa na Roho Mtakatifu wa Mungu, naye akatoa unabii, akisema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Zakaria, baba yake, akajazwa Roho Mtakatifu, akatabiri, akisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Zakaria, baba yake Yohana, akajaa Roho Mtakatifu, akatabiri, akisema:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Zakariya, baba yake mtoto, akajazwa Roho Mtakatifu, akatamka ujumbe wa Mungu:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zakaria, baba yake mtoto, akajazwa Roho Mtakatifu, akatamka unabii huu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zekaria, baba yake, akajazwa na Roho Mtakatifu, naye akatoa unabii, akisema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zekaria, baba yake, akajazwa na Roho wa Mwenyezi Mungu, naye akatoa unabii, akisema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Zakaria, baba yake, akajazwa Roho Mtakatifu, akatabiri, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zakaria, baba yake mtoto, akajazwa Roho Mtakatifu, akatamka unabii huu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baba yake Zakaria akajazwa Roho takatifu, akafumbua yatakayokuwa akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Zakaria, baba yake, akajazwa Roho Mtakatifu, akatabiri, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba yake Zakaria akajazwa na Roho Mutakatifu, na kuanza kutabiri, akisema:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Zakaria babae akajazwa Roho Mtakatifu, akatabiri, akinena,