Luke 1:70 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliahidi hapo kale kwa njia ya manabii wake watakatifu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(kama alivyonena kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu zamani),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama alivyosema tangu mwanzo Kwa kinywa cha manabii wake watakatifu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivi ndivyo alivyoahidi kupitia manabii wake watakatifu tangu zamani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aliahidi hapo kale kwa njia ya manabii wake watakatifu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliahidi hapo kale kwa njia ya manabii wake watakatifu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama alivyonena kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu zamani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama alivyonena kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu zamani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama alivyosema tangu mwanzo Kwa kinywa cha manabii wake watakatifu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliahidi hapo kale kwa njia ya manabii wake watakatifu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama alivyosema kale kwa vinywa vya wafumbuaji wake watakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama alivyosema tangu mwanzo Kwa kinywa cha manabii wake watakatifu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni sawa alivyosema zamani kwa njia ya manabii wake watakatifu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
(Kama alivyosema kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu mwanzo),