Luke 1:71 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwamba atatuokoa mikononi mwa maadui zetu na kutoka mikononi mwa wote wanaotuchukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu, na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tuokolewe na adui zetu Na mikononi mwao wote wanaotuchukia;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aliahidi kwa Agano kuwa atatuokoa na adui zetu na milki za wote wanaotuchukia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kwamba atatuokoa mikononi mwa adui zetu na kutoka mikononi mwa wote wanaotuchukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwamba atatuokoa mikononi mwa maadui zetu na kutoka mikononi mwa wote wanaotuchukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu, na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tuokolewe na adui zetu Na mikononi mwao wote wanaotuchukia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwamba atatuokoa mikononi mwa maadui zetu na kutoka mikononi mwa wote wanaotuchukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatupatia wokovu kwao walio adui zetu namo mikononi mwao wote wanaotuchukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tuokolewe na adui zetu Na mikononi mwao wote wanaotuchukia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliahidi kutuokoa toka mikono ya waadui zetu, ndio wale wanaotuchukia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Tuokolewe na adui zetu, na katika mikono yao wote wauaotuchukia;