Luke 1:72 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alisema atawahurumia wazee wetu, na kukumbuka agano lake takatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kuonesha rehema kwa baba zetu na kukumbuka agano lake takatifu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili kuwatendea rehema baba zetu, Na kulikumbuka agano lake takatifu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ili kuonesha rehema kwa baba zetu, na kulikumbuka agano lake takatifu aliloagana nao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alisema atawahurumia wazee wetu, na kukumbuka agano lake takatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alisema atawahurumia wazee wetu, na kukumbuka agano lake takatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kuonyesha rehema kwa baba zetu na kukumbuka Agano lake takatifu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kuonyesha rehema kwa baba zetu na kukumbuka Agano lake takatifu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili kuwatendea rehema baba zetu, Na kulikumbuka agano lake takatifu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alisema atawahurumia wazee wetu, na kukumbuka agano lake takatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliwahurumia baba zetu, akalikumbuka Agano lake takatifu
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili kuwatendea rehema baba zetu, Na kulikumbuka agano lake takatifu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliahidi kuwasikilia babu zetu huruma; na kukumbuka agano lake takatifu,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Illi kuwatendea rehema baba zetu, Na kukumbuka agano lake takatifu;