Luke 1:73 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimwapia Abrahamu babu yetu, kwamba atatujalia sisi
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kiapo alichomwapia baba yetu Ibrahimu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uapo aliomwapia Ibrahimu, baba yetu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Agano hili ni kiapo alichomwapia baba yetu Ibrahimu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kiapo alichomwapia Abrahamu baba yetu, ni kwamba atatujalia sisi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimwapia Abrahamu babu yetu, kwamba atatujalia sisi
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kiapo alichomwapia baba yetu Ibrahimu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kiapo alichomwapia Abrahamu, baba yetu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimwapia Abrahamu babu yetu, kwamba atatujalia sisi
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nacho kiapo chake, alichomwapia baba yetu Aburahamu kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uapo aliomwapia Ibrahimu, baba yetu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
sawa alivyomwapia babu yetu Abrahamu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Uapo aliomwapia Ibrahimu baba yetu,