Luke 1:76 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawe mwanangu, utaitwa, nabii wa Mungu Mkuu, utamtangulia Bwana kumtayarishia njia yake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; kwa kuwa utamtangulia Mwenyezi Mungu na kuandaa njia kwa ajili yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe, mtoto, utaitwa nabii wake Aliye juu, Kwa maana utatangulia mbele za uso wa Bwana umtengenezee njia zake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sasa wewe, mtoto mdogo, utaitwa nabii wa Mungu Aliye Juu Sana, kwa sababu utamtangulia Bwana kuandaa njia yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nawe mwanangu, utaitwa, nabii wa Mungu Mkuu, utamtangulia Bwana kumtayarishia njia yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawe mwanangu, utaitwa, nabii wa Mungu Mkuu, utamtangulia Bwana kumtayarishia njia yake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; kwa kuwa utamtangulia Bwana na kuandaa njia kwa ajili yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; kwa kuwa utamtangulia Bwana na kuandaa njia kwa ajili yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe, mtoto, utaitwa nabii wake Aliye Juu, Kwa maana utatangulia mbele za uso wa Bwana umtengenezee njia zake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawe mwanangu, utaitwa, nabii wa Mungu Mkuu, utamtangulia Bwana kumtayarishia njia yake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe kitoto, utaitwa mfumbuaji wake Alioko huko juu, utatangulia mbele ya Bwana, uzitengeneze njia zake
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe, mtoto, utaitwa nabii wake Aliye juu, Kwa maana utatangulia mbele za uso wa Bwana umtengenezee njia zake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wewe, mutoto wangu, utaitwa nabii wa Mungu Mukubwa, maana utatangulia mbele ya kufika kwa Bwana, kusudi umutengenezee njia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;