Luke 1:79 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuwaangazia wote wanaokaa katika giza kuu la kifo, aongoze hatua zetu katika njia ya amani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kuwaangazia wale wanaoishi gizani na katika uvuli wa mauti, kuiongoza miguu yetu katika njia ya amani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuwaangaza wakaao katika giza na uvuli wa mauti, Na kuiongoza miguu yetu kwenye njia ya amani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kuwaangazia wale wanaoishi katika giza, kwa hofu ya mauti, na kuongoza hatua zetu katika njia ya amani.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na kuwaangazia wote wanaokaa katika giza kuu la kifo, aongoze hatua zetu katika njia ya amani.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuwaangazia wote wanaokaa katika giza kuu la kifo, aongoze hatua zetu katika njia ya amani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kuwaangazia wale waishio gizani na katika uvuli wa mauti, kuiongoza miguu yetu katika njia ya amani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kuwaangazia wale waishio gizani na katika uvuli wa mauti, kuiongoza miguu yetu katika njia ya amani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuwaangaza wakaao katika giza na uvuli wa mauti, Na kuiongoza miguu yetu kwenye njia ya amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuwaangazia wote wanaokaa katika giza kuu la kifo, aongoze hatua zetu katika njia ya amani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
uwaangaze wanaokaa gizani kwenye kivuli kuuacho, uelekeze miguu yetu, ishike njia ya utengemano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuwaangaza wakaao katika giza na uvuli wa mauti, Na kuiongoza miguu yetu kwenye njia ya amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawaangazia wale wanaoishi katika giza na wanaokaa katika kivuli cha kifo, kusudi atuongoze tupate kufuata njia ya amani.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kuwaangaza wakaao katika giza na uvuli wa mauti, Na kuelekeza miguu yetu mnamo njia ya amani.