Luke 1:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja, ilipokuwa zamu yake kutoa huduma ya ukuhani mbele ya Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku moja ilipokuwa zamu ya kikundi cha Zakaria, yeye akifanya kazi ya ukuhani Hekaluni mbele za Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikawa, alipokuwa akifanya kazi ya ukuhani katika taratibu ya zamu yake mbele za Mungu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ilipofika zamu ya kundi la Zakaria kuhudumu Hekaluni, yeye mwenyewe alikuwepo ili kuhudumu kama kuhani mbele za Mungu kwa ajili kundi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku moja, ilipokuwa zamu yake ya kutoa huduma ya ukuhani mbele ya Mungu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja, ilipokuwa zamu yake kutoa huduma ya ukuhani mbele ya Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku moja ilipokuwa zamu ya kikundi cha Zekaria, yeye akifanya kazi ya ukuhani Hekaluni mbele za Mungu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku moja ilipokuwa zamu ya kikundi cha Zekaria, yeye akifanya kazi ya ukuhani Hekaluni mbele za Mwenyezi Mungu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikawa, alipokuwa akifanya kazi ya ukuhani wakati wa zamu yake mbele za Mungu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku moja, ilipokuwa zamu yake kutoa huduma ya ukuhani mbele ya Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chama chake kilipofikiwa na zamu, akaenda kufanya kazi yake ya utambikaji mbele ya Mungu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikawa, alipokuwa akifanya kazi ya ukuhani katika taratibu ya zamu yake mbele za Mungu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja, Zakaria alikuwa akimutumikia Mungu, akifanya kazi yake ya ukuhani kwa maana ilikuwa zamu ya kundi lake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi ikawa alipokuwa akifanya kazi ya ukuhani katika taratibu ya zamu yake mbele ya Mungu,