Luke 10:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona nyinyi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Isa akawageukia wanafunzi wake akanena nao faraghani, akawaambia, “Heri macho yanayoona yale mambo mnayoyaona.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawageukia wanafunzi wake, akasema nao kwa faragha, Heri macho yaonayo mnayoyaona ninyi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafuasi walikuwa na Yesu peke yao na Yesu aliwageukia akasema, “Ni baraka kubwa kwenu kuyaona mnayoyaona sasa!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona ninyi!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona nyinyi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yesu akawageukia wanafunzi wake akanena nao faraghani, akawaambia, “Yamebarikiwa macho yanayoona yale mambo mnayoyaona.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Isa akawageukia wanafunzi wake akanena nao faraghani, akawaambia, “Heri macho yanayoona yale mambo mnayoyaona.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawageukia wanafunzi wake, akasema nao kwa faragha, Heri macho yaonayo mnayoyaona ninyi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu akawaelekea wafuasi wake akawaambia, “Heri wanaoona yale mnayoyaona nyinyi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Akawapindukia wanafunzi, akawaambia, walipokuwa peke dyao: Yenye shangwe ni macho yanayoyaona, mnayoyaona ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawageukia wanafunzi wake, akasema nao kwa faragha, Heri macho yaonayo mnayoyaona ninyi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yesu akawageukia wanafunzi wake wakiwa peke yao, akawaambia: “Heri watu wanaoona mambo yale munayoona!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawageukia wanafunzi wake kwa faragha, akawaambia, Ya kheri macho yatazamayo mnayoyatazama ninyi.