Luke 10:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika, manabii na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona nyinyi wasiyaone, na kusikia yale mnayoyasikia wasiyasikie.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana nawaambia, manabii wengi na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa nawaambia ya kwamba manabii wengi na wafalme walitamani kuyaona mnayoyaona ninyi wasiyaone; na kuyasikia mnayoyasikia ninyi wasiyasikie.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninawaambia, Manabii wengi na wafalme walitamani kuyaona mambo haya mnayoyaona ninyi, lakini hawakuyaona, na walitamani kuyasikia mnayoyasikia ninyi lakini hawakuweza.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hakika, manabii na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona ninyi wasiyaone, na kusikia yale mnayoyasikia wasiyasikie.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika, manabii na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona nyinyi wasiyaone, na kusikia yale mnayoyasikia wasiyasikie.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana nawaambia, manabii wengi na wafalme walitamani kuona mnayoyaona, lakini hawakuyaona, pia kusikia mnayoyasikia, lakini hawakuyasikia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana nawaambia, manabii wengi na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa nawaambia ya kwamba manabii wengi na wafalme walitamani kuyaona mnayoyaona ninyi wasiyaone; na kuyasikia mnayoyasikia ninyi wasiyasikie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika, manabii na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona nyinyi wasiyaone, na kusikia yale mnayoyasikia wasiyasikie.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nawaambiani: Wengi waliokuwa wafumbuaji na wafalme walitaka kuyaona, mnayoyaona ninyi, lakini hawakuyaona; walitaka kuyasikia, mnayoyasikia ninyi, lakini hawakuyasikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa nawaambia ya kwamba manabii wengi na wafalme walitamani kuyaona mnayoyaona ninyi wasiyaone; na kuyasikia mnayoyasikia ninyi wasiyasikie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana ninawaambia: manabii wengi na wafalme walitamani kuona mambo munayoyaona, lakini hawakuyaona, na kusikia maneno munayoyasikia, lakini hawakuyasikia.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana nawaambia; Manabii wengi na wafalme walitaka kuyaona mnayoyatazama ninyi wasiyaone, na kuyasikia mnayoyasikia wasiyasikie.