Luke 10:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye akamwuliza, “Imeandikwa nini katika sheria? Unaelewaje?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamjibu, “Imeandikwaje katika Torati? Kwani unasoma nini humo?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Imeandikwa nini katika torati? Wasomaje?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akamwambia, “Imeandikwa nini katika torati? Unaielewaje?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akamwuliza, “Imeandikwa nini katika Sheria? Unaelewaje?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye akamwuliza, “Imeandikwa nini katika sheria? Unaelewaje?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamjibu, “Imeandikwaje katika Torati? Kwani unasoma nini humo?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamjibu, “Imeandikwaje katika Torati? Kwani unasoma nini humo?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Imeandikwa nini katika torati? Wasomaje?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye akamwuliza, “Imeandikwa nini katika sheria? Unaelewaje?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akamwambia: Katika Maonyo imeandikwa nini? Unasomaje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Imeandikwa nini katika torati? Wasomaje?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akamujibu: “Imeandikwa namna gani katika Sheria? Unaielewa namna gani unapoisoma?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwambia, Katika torati imeandikwa nini? Wasomaje?