Luke 10:28 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akamwambia, “Vema! Fanya hivyo, nawe utaishi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamwambia, “Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Umejibu vema; fanya hivi nawe utaishi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akasema, “Jibu lako ni sahihi. Fanya hivi nawe utaupata uzima wa milele.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawaambia, “Vema! Fanya hivyo, nawe utaishi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akamwambia, “Vema! Fanya hivyo, nawe utaishi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamwambia, “Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamwambia, “Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Umejibu vema; fanya hivi nawe utaishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akamwambia, “Vema! Fanya hivyo, nawe utaishi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Umejibu kweli; yafanye hayo! Ndipo, utakapopata kuishi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Umejibu vema; fanya hivi nawe utaishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Yesu akamwambia: “Umejibu vizuri. Fanya sawa vile unavyosema, nawe utaishi milele.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwambia, Umejibu vema; fanya hivi, ndipo utaishi.