Luke 10:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali hapo akamwona, akapita kando.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vivyo hivyo, Mlawi mmoja naye alipofika mahali pale, alimwona, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Mlawi vivyo hivyo, alipofika pale akamwona, akapita kando.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Mlawi alipokaribia na kumwona yule mtu, alipita upande mwingine. Hakusimama ili amsaidie, Alikwenda zake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali akamwona, akapita kando.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali hapo akamwona, akapita kando.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vivyo hivyo Mlawi mmoja naye alipofika mahali pale, alimwona, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vivyo hivyo, Mlawi mmoja naye alipofika mahali pale, alimwona, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Mlawi vivyo hivyo, alipofika pale akamwona, akapita kando.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali hapo akamwona, akapita kando.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vilevile hata Mlawi akafika mahali pale; lakini alipomwona akaepuka, akapita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Mlawi vivyo hivyo, alipofika pale akamwona, akapita kando.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile Mulawi mumoja akafika kwenye nafasi ile, naye alipomwona mutu yule, akapita pembeni na kujiendea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na Mlawi kadhalika alipofika pahali pale, akamwona akapita upande.