Luke 10:36 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Yesu akauliza, “Kati ya hao watatu, ni yupi aliyeonesha kuwa jirani yake yule aliyevamiwa na majambazi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ni yupi basi miongoni mwa hawa watatu wewe unadhani ni jirani yake yule mtu aliyeangukia mikononi mwa wanyang’anyi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waonaje wewe, katika hao watatu, ni yupi aliyekuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya wanyang'anyi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha Yesu akasema, “Ni yupi kati ya hawa watu watatu unadhani hakika alikuwa jirani wa yule mtu aliyepigwa na majambazi?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha Yesu akauliza, “Kati ya hao watatu, ni yupi aliyeonyesha kuwa jirani yake yule aliyevamiwa na majambazi?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Yesu akauliza, “Kati ya hao watatu, ni yupi aliyeonesha kuwa jirani yake yule aliyevamiwa na majambazi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ni yupi basi miongoni mwa hawa watatu, wewe unadhani ni jirani yake yule mtu aliyeangukia mikononi mwa wanyang'anyi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ni yupi basi miongoni mwa hawa watatu wewe unadhani ni jirani yake yule mtu aliyeangukia mikononi mwa wanyang’anyi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waonaje wewe, katika hao watatu, ni yupi aliyekuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya wanyang'anyi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Yesu akauliza, “Kati ya hao watatu, ni yupi aliyeonesha kuwa jirani yake yule aliyevamiwa na majambazi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waonaje? Katika hao watatu aliyejifanya kuwa mwenzake yule aliyeguiwa na wanyang'anyi ni yupi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waonaje wewe, katika hao watatu, ni yupi aliyekuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya wanyang’anyi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yesu akamwuliza yule mwalimu wa Sheria: “Kati ya hawa watatu ni nani aliyemutendea yule mutu aliyeshambuliwa na wanyanganyi kama vile mwenzake?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Waonaje bassi? Katika hawa watatu yupi aliyekuwa jirani yake mwenye kuangukia katika mikono ya wanyangʼanyi?