Luke 11:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini baadhi ya watu hao wakasema, “Anawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wengine wakasema, “Anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli, yule mkuu wa pepo wachafu wote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wengine wao wakasema, Atoa pepo kwa Beelzebuli, mkuu wa pepo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini baadhi ya watu walisema, “Anatumia nguvu za Shetani kuwatoa pepo. Shetani ni mtawala wa pepo wachafu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini baadhi ya watu hao wakasema, “Anamfukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini baadhi ya watu hao wakasema, “Anawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wengine wakasema, “Anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebubu, yule mkuu wa pepo wachafu wote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wengine wakasema, “Anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli, yule mkuu wa pepo wachafu wote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wengine wao wakasema, Atoa pepo kwa Beelzebuli, mkuu wa pepo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini baadhi ya watu hao wakasema, “Anawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walikuwako waliosema: Nguvu ya Belzebuli, mkuu wa pepo, ndiyo, anayofukuzia pepo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wengine wao wakasema, Atoa pepo kwa Beelzebuli, mkuu wa pepo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wamoja kati yao wakasema: “Anafukuza pepo kwa uwezo wa Belzebuli, yule mukubwa wa pepo.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wengine wao wakasema, Kwa Beelzebul, mkubwa wa pepo atoa pepo.