Luke 11:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengine ili kumjaribu wakataka awaoneshe ishara kutoka mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wengine walimjaribu, wakimtaka ishara itokayo mbinguni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya watu wengine waliokuwa pale walitaka kumjaribu Yesu, walimwomba afanye muujiza kama ishara kutoka kwa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonyesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengine ili kumjaribu wakataka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengine ili kumjaribu wakataka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wengine walimjaribu, wakimtaka afanye ishara itokayo mbinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine wakamjaribu wakitaka, afanye kielekezo kitokacho mbinguni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wengine walimjaribu, wakimtaka ishara itokayo mbinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wengine walitaka kumupima wakimwomba awaonyeshe kitambulisho kinachohakikisha kwamba uwezo wake umetoka kwa Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wengine kwa kumjaribu wakataka ishara ya mbinguni.