Luke 11:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ikiwa ninafukuza pepo kwa uwezo wa Mungu, basi jueni kwamba ufalme wa Mungu umekwisha fika kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama mimi ninatoa pepo wachafu kwa kidole cha Mungu, basi ufalme wa Mungu umewajia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini, ikiwa mimi natoa pepo kwa kidole cha Mungu, basi ufalme wa Mungu umekwisha kuwajilia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini, ninatumia nguvu za Mungu kutoa pepo. Hii inaonesha kuwa Ufalme wa Mungu umekuja kwenu sasa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini ikiwa ninawafukuza pepo kwa uwezo wa Mungu, basi jueni kwamba Ufalme wa Mungu umekwisha fika kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ikiwa ninafukuza pepo kwa uwezo wa Mungu, basi jueni kwamba ufalme wa Mungu umekwisha fika kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ikiwa ninatoa pepo wachafu kwa kidole cha Mungu, basi Ufalme wa Mungu umewajia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama mimi ninatoa pepo wachafu kwa kidole cha Mungu, basi Ufalme wa Mwenyezi Mungu umewajia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, ikiwa mimi natoa pepo kwa kidole cha Mungu, basi ufalme wa Mungu umekwisha kuwajia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ikiwa ninafukuza pepo kwa uwezo wa Mungu, basi jueni kwamba ufalme wa Mungu umekwisha fika kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi nikiwafukuza pepo kwa nguvu ya kidole cha Mungu, ufalme wa Mungu umekwisha kuwafikia ninyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, ikiwa mimi natoa pepo kwa kidole cha Mungu, basi ufalme wa Mungu umekwisha kuwajilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ngambo yangu, ikiwa mimi ninafukuza pepo kwa uwezo wa Mungu, hii inaonyesha kwamba Ufalme wa Mungu umekwisha kufika kati yenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini nikifukuza pepo kwa kidole cha Mungu, bassi ufalme wa Mungu umewajieni.