Luke 11:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutawanya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtu yeyote asiye pamoja nami, yuko kinyume nami. Na mtu yeyote asiyefanya kazi pamoja nami anafanya kinyume nami.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mtu ye yote ambaye hayuko pamoja nami, yu kinyume changu na mtu ye yote asiyekusanya pamoja nami, hutapanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutawanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asiye wa upande wangu hunikataa; naye asiyekusanya pamoja nami hutapanya.,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu ambaye si pamoja nami yu kinyume changu; na mtu asiyekusanya pamoja nami hutawanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Asiyekuwa wa upande wangu ni adui yangu; na asiyekusanya pamoja nami, anasambaza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mtu asiye pamoja nami ni adui yangu: nae asiyekusanya pamoja nami hutapanya.