Luke 11:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anaporudi, huikuta ile nyumba imefagiwa na kupambwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye anaporudi na kuikuta ile nyumba imefagiwa na kupangwa vizuri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitairudia nyumba yangu niliyotoka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Inaporudi hukuta nyumba imesafishwa na kupangwa vizuri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Anaporudi, huikuta ile nyumba imefagiwa na kupambwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anaporudi, huikuta ile nyumba imefagiwa na kupambwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Arudipo na kuikuta ile nyumba imefagiliwa na kupambwa vizuri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye arudipo na kuikuta ile nyumba imefagiliwa na kupangwa vizuri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitairudia nyumba yangu niliyotoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anaporudi, huikuta ile nyumba imefagiwa na kupambwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Anapokuja huiona, imefagiwa na kupambwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitairudia nyumba yangu niliyotoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anaporudia, anaikuta wazi bila mutu, nayo imefagiliwa na kupambwa vizuri.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akija, huiona imefagiwa, imepambwa.